Dunia ya Hip hop imeamka na habari kubwa ya kupatana kwa mastaa
wawili ambao wamekuwa kwenye beef la muda wa zaidi ya miaka 10. Wasanii
50 Cent na The Game ambao walikuwa eneo moja kwenye photo shoot na
hakuna ugomvi wowote uliotokea wamezua uvumi kuwa labda walikutana
mapema na kumaliza tofauti zao.
Msanii wa The Game ‘King Pharaoh Jackson’ ametoa maelezo na kusema
wote wawili walikuwa kwenye chumba cha kupiga picha na baadae walikuwa
kwenye club mmoja huku kila mtu akila bata kivyake na hakuna beef yoyote
tokea kwenye mazingira hao.
Beef kati ya 50 Na The Game ilianza pale 50 alipomtimua The Game
kwenye kundi la G Unit kutokana na Game kushindwa kumunga mkono 50 Cent
kwenye mabeef yake na wasanii wengine.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment