Latest in Tech

CRISS BROWN AFIKISHWA MAHAKAMANI

Producer mkongwe wa muziki wa hiphop Suge Knight aliyewahi kumiliki lebo ya Death Row Records amefungua kesi dhidi ya rnb staa Chris Brown,Pia Mia, na club ya 1OAK akidai walihusika na tukio la yeye kupigwa risasi kwenye club hio August 2014.
Knight anasema hapakuwa na ulinzi wa kutosha kwenye club hio na kwamba anataka kulipwa fidia kwa matatizo aliyopata kama matatizo ya kiafya ya goi lake la kushoto.
Hii ilikuwa pati ya Chris Brown iliyofanyika mwaka 2014 wakati anatambulisha album ya  ila haikuandaliwa na Chris Brown na hakuhusika na fujo hizo.
Mwaka 2009, Knight yeye na  Chris Brown ni washkaji tu.
Hii ilikuwa pati ya Chris Brown iliyofanyika mwaka 2014 wakati anatambulisha album ya  X,

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes