Latest in Tech

VIDEO; Mpya ya msanii wa Shilole ‘Gaucho’ inaitwa ‘Today’,


Shilole ameanzisha lebel yake mwenyewe ya muziki iliyopewa jina Shilole Entertainment na msanii wa kwanza kupewa shavu na lebo hii ni Gaucho, wimbo wake wa kwanza ni huu umepewa jina TODAY, Bonyeza Play Kuitazama Video.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes