Msanii kutoka Nigeria Falz ameshinda tuzo ya “Viewer’s Choice Best International Act” Award kwenye tuzo za mwaka 2016 za BET.
Falz ameng’ara na wimbo kama Karishika Na Bahd Baddo Baddest Ft Olamide, Davido.
Falz ameshinda tuzo hii kwa kupigiwa kura twitter, kupitia kutrend kwa VOte yake yaB.E.T vote #iPickFalz
Congrats @falzthebahdguy on winning Viewer’s Choice Best International ActAward ???????? #BETAwards16 #BETAfricaLATakeover— BET Awards 28 Jun (@BET_Africa) June 25, 2016Mwaka Jana Hii tuzo alishinda Eddy Kenzo.


Post a Comment