Latest in Tech

Beef inaendelea,Joe Budden katoa Diss nyingine kwa Drake

Joe Budden anazidi kumdiss Drake na wakati huu ametoa rekodi mpya na ya nne ambayo ni diss kwa Drake, wimbo huu ni jibu kwa diss ya Drake aliyotoa weekend hii alivyokuwa kwenye tour.
Joe Budden ameta “Just Because.” na humu anafananisha ugomvi wake na Drake kama beef kati ya baba na mtoto wake, akijiita yeye baba.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes