Baada ya kuisaidia timu yake ya taifa kuchukua kombe la Euro 2016, Cristiano Ronaldo amesafiri na familia yake kwenda kula bata kwenye mapumziko yake kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi mwezi Agosti mwaka huu.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Ronaldo alipost picha akiwa kwenye ndege binafsi akisafiri na familia yake na kuandika: “Travel with family 




. Mood
.”





. Mood
.”
Ronaldo amefanikiwa kuweka rekodi kadhaa kwenye michuano ya Uero mwaka huu ikiwemo kufikia rekodi iliyowahi kuwekwa na Michel Platini ya kufunga mabao tisa kwenye michuano ya Uero, mchezaji aliyecheza mechi nyingi kwenye michuano ya Uero, mchezaji aliyecheza mechi nyingi kwenye timu ya taifa ya Ureno, mchezaji wa kwanza



Post a Comment