Latest in Tech

THE GAME AENDELEA KUTOA MISAADA KWA AKINA MAMA NCHINI MAREKANI

Rapa The Game anaendelea kutoa misaada tofauti kwa jamii iliyomzunguka na hivi karibuni kupitia kampeni yake ya “Yo Mama, My Mama” rapa huyu kutoka Compton, California ametumia dola $1,000 kununua vyakula vya familia ya mama mwenye watoto nane.
Mama huyu anayefahamika kama Yvette Hicks ana watoto nane na ameachana na mume wake, mtoto wake wa kike Eunice alirekodi video na kutoa sababu za kwanini mama yake ana haki ya kupata msaada huo na ndipo The Game aliwatembelea na kuwapa msaada huo.
the game
the game 1 the game 2
the game 7
the game 5
the game 9
the game 4    the game 12


Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes