Latest in Tech

Jose Mourinho kataja wachezaji watatu wa muda wote anao wakubali zaidi.

Kocha mpya wa Man United Jose Mourinho ametaja orodha ya wachezaji wake watatu wa muda wote.
Mourinho amewataja Messi, Pele na Diego Maradona kama ndio wachezaji bora wa muda wote huku akiacha kumtaja Cristiano Ronaldo ambaye alitegemewa kuwepo kwenye orodha hio kutokana na uwezo wake toka amepata umaarufu chini ya klabu ya Man Utd.
Ronaldo amewahi kufundishwa soka na Mourinho kwa misimu mitatu katika klabu ya Real Madrid, mwaka 2012 alifanikiwa kushinda tuzo ya Ballon d’Or akiwa chini ya Mourinho,
Je Ronaldo anastahili kuwepo kwenye orodha hio.
lionel-messiMaradona


Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes