Baada ya kupiga bonge moja la show kwenye tuzo za BET Award akiwa na Usher, Young Thug ametoa video ya wimbo wake wa “Turn Up” na video model ni mpenzi wake Jerrika Karlae.
Wimbo upo kwenye mixtape yake ya I Came From Nothing 4 huku akielekea kutoa album yake ya Hy!£UN35.


Post a Comment