Baada ya rapa Tyga kurudiana na mpenzi wake wa zaidi ya miezi sita Kylie Jenner,staa huyu wa “Cash Money” ametoa video yake aliyofanya Kingston Jamaica “1 of 1” .
Mwanamitindo wa Kanye West ‘Amina Blue’ ametumika kwenye video hii kama model na wimbo huu upo kwenye mixtape ya Tyga Bitch I’m the Shit 2.


Post a Comment