Latest in Tech

Wachezaji walioachwa nje kumi-bora Ulaya

Neymar hajajumuishwa orodha ya wachezaji kumi watakaoshindania tuzo

Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) limetangaza orodha ya wachezaji kumi watakaoshindania tuzo ya mchezaji bora Ulaya wa msimu wa 2015/16.

Orodha hiyo hata hivyo imewaacha nje wachezaji nyota wakiwemo Neymar kutoka Brazil.
Aidha, hakuna mchezaji yeyote anayechezea soka yake Uingereza. Jamie Vardy na Riyad Mahrez wanaochezea mabingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) Leicester City walikaribia sana kuwa kwenye orodha hiyo.

Kumi-bora walioorodheshwa ni:

  • Gareth Bale (Real Madrid & Wales)
  • Gianluigi Buffon (Juventus & Italia)
  • Antoine Griezmann (Atlético Madrid & Ufaransa)
  • Toni Kroos (Real Madrid & Ujerumani)
  • Lionel Messi (Barcelona & Argentina)
  • Thomas Müller (Bayern München & Ujerumani)
  • Manuel Neuer (Bayern München & Ujerumani)
  • Pepe (Real Madrid & Ureno)
  • Cristiano Ronaldo (Real Madrid & Ureno)
  • Luis Suárez (Barcelona & Uruguay)
VardyImage copyrightPA
Image captionVardy na Mahrez wanaochezea Leicester walikaribia sana

Waliotupwa nje

Walioachwa nje baada ya mchujo wa kwanza kufanyika, ndio hawa, orodha ikifuata wingi wa kura walizopata.
11 Riyad Mahrez (Leicester & Algeria)
12 Jamie Vardy (Leicester & England)
13 Dimitri Payet (West Ham & Ufaransa)
14 Jérôme Boateng (Bayern München & Ujerumani)
15 Arturo Vidal (Bayern München & Chile)
16 Luka Modrić (Real Madrid & Croatia)
17 N'Golo Kanté (Leicester & Ufaransa)
18 Zlatan Ibrahimović (Paris Saint-Germain/Manchester United & Sweden)
19= Eden Hazard (Chelsea & Ubelgiji)
IbraImage copyrightREUTERS
Image captionIbrahimovic pia hakufanikiwa
19= Andrés Iniesta (Barcelona & Uhispania)
19= Neymar (Barcelona & Brazil)
19= Renato Sanches (Benfica/Bayern München & Ureno)
23 Robert Lewandowski (Bayern München & Poland)
24 Gonzalo Higuaín (Napoli & Argentina)
25= Giorgio Chiellini (Juventus & Italia)
25= Diego Godin (Atlético Madrid & Uruguay)
25= Will Grigg (Wigan & Ireland Kaskazini)
25= Hugo Lloris (Tottenham & Ufaransa)
25= Paul Pogba (Juventus & Ufaransa)
30= Toby Alderweireld (Tottenham & Ubelgiji)
30= Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund & Gabon)
30= Kevin De Bruyne (Manchester City & Ubelgiji)
30= Kevin Gameiro (Sevilla & Ufaransa)
30= Grzegorz Krychowiak (Sevilla/Paris Saint-Germain & Poland)
30= Blaise Matuidi (Paris Saint-Germain & Ufaransa)
30= Georges-Kévin N'Koudou (Marseille & Ufaransa)
30= Jan Oblak (Atlético Madrid & Slovenia)

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes