Latest in Tech

VIDEO: MAPENZI YA DRAKE NA RIHANNA SASA HADHARANI



July 31 rapa Drake na rnb staa Rihanna wamefanya show kali kwenye ziara za Drake za OVO kwenye ukumbi wa Air Canada huku wakiwaacha mashabiki wao na misemo kama KWELI HAWA NI WAPENZI. Ukaribu wao wakati wanaimba nyimbo zao “Work” na “Too Good.” umethibitisha kuwa wawili hawa tayari wamerudiana na mapenzi yao kwa sasa ni moto moto.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes