Latest in Tech

Dj Khaled athibitisha kiki lake kwenye ziara ya Beyonce,wasanii watumia fursa kupiga picha na JayZ.

Baada ya wadau kuchukulia powa uwezo wa Dj Khaled kwenye ziara za Beyonce Dj huyu maarfu kwa kuwaleta wasanii pamoja kwenye colabo kali amemtupia rapa Li Wayne, Future na Rick Ross kwenye stage moja mjini Miami kwenye show yake iliyokalisha zaidi.
Dj Khaled amesajiliwa kwenye lebel ya Jay Z ya Roc Nation na atakuwa na Beyonce kwenye tour yote hii.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes