Latest in Tech

Lil Wayne hana ‘Respect’ kwa Birdman, baada kujiachia na maadui zake

Lil Wayne amuonyesha Birdman ZERO ‘Respek’ baada ya kujiachia na mahasimu wake kwenye ziara ya Beyonce mjini Miami.

Rapa Lil Wayne amejiachia na wasanii ambao ni mahasimu wa Birdman ‘Rick Ross na Trick Daddy’. Picha ya Lil Wayne inamuonyesha akiwa na wasanii hawa na kuweki ishara ya kidole cha F**K You ambayo imetafsiriwa kumlenga Birdman ambaye kwa sasa hawana maelewano mazuri na Lil Wayne.

Hivi karibuni Birdman aliondoka kwenye interview ya Breakfast Club baada ya mtangazaji wa kipindi hicho ‘Charlamagne Tha God’ kumkumbusha kuwa wasanii Ricky Rozay na Trick Daddy bado wanamdiss na hajafanya lolote kuwajibu.
lil wayne

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes