Rnb staa kutoka Uingereza Rita Ora ametolewa kwenye orodha ya
wanawake wanaodhaniwa kuchepuka na Jay Z. Rita ameonekana kujiachia na
Beyonce kwenye Met Gala huku akivalia beji iliyoandikwa NOT BECKY kwenye
nguo yake.
Beyoncé alimuimba mwanamke aliyepewa husika ya Becky kwenye wimbo wa “Sorry,” kwenye album yake mpya ya Lemonade.
Post a Comment