10) Abuja
Abuja
ni mji mkuu wa Nigeria. Unakadiriwa kuwa na idadi ya watu 979,876.
Umejengwa miaka ya 1980. Kuhusu Abuja, siku moja Nelson Mandela alisema,
“Kwa nini ujitese kutembelea Ulaya wakati vitu vyote utavikuta hapa.”
9) Conakry
Conakry ni mji mkuu wa nchi ya Guinea.
8) Bamako
Bamako ni mji mkuu wa Mali. Unakadiriwa kuwa na takribani watu milioni mbili.
7) Brazzaville
Huu ni mji mkuu wa Congo. Unakadiriwa kuwa na zaidi ya watu milioni 1.3.
6) Lagos
Lagos ni mji mkuu wa kibiashara wa Nigeria.
5) Kinshasa
Ni mji wenye zaidi ya watu milioni nne. Ni mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
4) Libreville
Libreville ni mji mkuu wa Gabon unaokadiriwa kuwa na zaidi ya watu 500,000.
3) Victoria
Victoria
ni mji mkuu wa Ushelisheli. Ni mji ambao Prince William wa Uingereza na
mke wake walienda kupumzika baada ya harusi yao. Inasemekana walitumia
zaidi ya dola 5,000 kwa usiku mmoja.
2) N’Djamena
N’Djamena ni mji mkuu wa Chad.
1) Luanda
Luanda
ni mji mkuu wa Angola. Katika jiji hili, inaarifiwa kuwa kodi yake
inakadiriwa kuanzia Yuro 10,000 mpaka Yuro 35,00o. Maisha sio rahisi
kabisa katika jiji hili.
Post a Comment