Latest in Tech

DRAKE AWAZINGUA MASHABIKI WAKE

Mashabiki wa Drake wamekasirishwa na kitendo hichi cha rapa huyu kubadilisha muonekano wake Ghafla baad aya kunyoa ndevu zake.
Kuelekea kwenye show yake ya SNL ‘Sartarday Nite Live’ Drake amenyoa ndevu zake na kuweka picha hio kwenye instagram.
drake-shaves-beard
 drake 12

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes