Rick Ross amekuwa miongoni mwa wasanii wanaotishiwa maisha na makundi
ya wahuni na hivi karibuni siri imefichuka kuwa hio ndio sababu ya
Rozay kusitisha kufanya show kwenye ziara yake ya Maybach Music Group
Tour.
Rick Ross anapokea vitisho kutoka kwa kundi linalojiita Gangster Disciples,
na kundi hili limesema lazima Rozay alipe kiasi flani cha pesa ndio
aweze kufanya show kwenye miji ambayo wanamiliki kundi hili na kuwa
asipofanya hivyo basi maisha yake yako hatarini.
Matukio kama risasi kufyatuliwa kwenye studio ya Rozay na kwenye show zake yamehusishwa na kundi hili.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment