DJ, MULLY NDANI YA STUDIO ZA AJTC 96.6 |
Home » ARUSHA » NANI NI NANI NDANI YA AJTC
NANI NI NANI NDANI YA AJTC
Mashindano ya utangazaji katika chuo cha uandishi wa habari na
utangazaji Arusha AJTC yanaendelea,huku madarasa mbali mbali yakifanya
vizuri katika vipindi vya HABARI, MICHEZO,BURUDANI NA MAKALA.
Mashindano hayo ya 2016 ambayo ni ya 9 yanawapa wakati mgumu majaji
jinsi yakufahamu nani ni nani kwani madarasa yote yameonekana kufanya
vizuri zaidi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment