Ni miaka takribani kumi mpaka tangu The Game ajiondoe kwenye kundi hilo kwa kile alichokisema kuwa amegombana na 50 Cent kutokana na kutomuunga mkono bosi wake huyo wa zamani kwenye bifu zake na mastaa wengine.
Akiongea na mtandao wa Hip Hop Dx kutokana na tukio lililotokea siku chache zilizopita akionekana yupo pamoja na 50 Cent, The Game alisema ‘sijui wapi alipotokea yule mtu [50 Cent], lakini hawezi jua nini kitatokea hapo baadaye’
“You know he’s doing his thing, I’m doing my thing. Banks, Buck and Yayo, they all doing their thing,” aliongeza.
Tazama video hapa chini.
Post a Comment