Latest in Tech

VIDEO:Ja Rule akimtandika shabiki kofi baada ya kurushiwa kopo la bia.

Rapa Ja Rule amempiga kofi shabiki aliyerusha kopo la bia na kumgonga kichwani wakati akifanya show. Tukio hilo lilivyotokea Ja Rule alisimamisha show na kutoa dola 1000 kwa mtu ambaye angemuonyesha mtu aliyerusha kopo hilo.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes