Boss wa Cash Money Birdman bado anataka heshima yake na sasa ametoa video ya wimbo wake wa Neno “Respek.”
Video imefanyika nyumbani kwao New Orleans, Birdman anaelezea kwanini
atamuibukia mtu anayemkosea heshima. Wimbo upo kwenye album yake ya Ms. Gladys, inayotoka June 24.
Bonyeza play kuitazama hapa
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment