Latest in Tech

WIZ KID AZIDI SUMBUA CHAT ZA BILLBOARD KWA COLLABO LA DRAKE

Msanii kutoka Nigeria Wizkid ameiweka Afrika kwenye level kubwa sana kimuziki baada ya wimbo aliofanya na Drake kushika namba moja kwenye chati za billboard hot 100.
Wimbo wa ‘One Dance’ upo kwenye album ya Views ambayo pia ni namba moja kwenye chati ya album bora ya Billboard 200 chart.
BILLBOARD HOT 100 TOP 10
  1. Drake feat. Kyla & WizKid – “One Dance”
  2. Desiigner – “Panda”
  3. Calvin Harris feat. Rihanna – “This is What You Came For”
  4. Lukas Graham – “7 Years”
  5. Mike Posner – “I Took a Pill in Ibiza”
  6. Fifth Harmony feat. Ty Dolla $ign – “Work from Home”
  7. Rihanna feat. Drake – “Work”
  8. The Chainsmokers feat. Daya – “Don’t Let Me Down”
  9. Zayn – “Pillowtalk”
  10. Justin Bieber – “Love Yourself”

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes