Kocha wa klabu ya Liecester City Claudio Ranieri achaguliwa kuwa
kocha bora mwaka 2016 na kunyakuwa tuzo ya Enzo Bearzot inayotolewa na
shirika la soccer nchini Italia.
Ranieri amejipatia tunzo hiyo baada ya kuisadia timu yake ya
Leicester City kutoa ubingwa wa ligi ku ya Uingereza kwa mara ya kwanza
katika historia ya timu hiyo
Tuzo hizo zilianza kutolewa mwaka 2011 na shirika la soka Italia.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment