Latest in Tech

Floyd Mayweather anatumia milioni 6 za kibongo kwenye issue hii moja kwa wiki.

Bondia mtaafu Floyd Mayweather analipia milioni 2 za kibongo kila mara anaponyolewa nywele na kinyozi wake.  Kinyozi wake ambaye ni mwanamke anasema analipwa dola $1,000 per cut.”
Mayweather ananyolewa mara tatu kwa wiki.
floyd-mayweather 2 floyd-mayweather

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes