Movie staa Orlando Boom amethibitisha kuwa mapenzi yake na mwimbaji
Katy Perry baada ya wawili hawa kuonekana pamoja huko South of France
kwenye boti la tajiri kutoka Urusi Roman Abramovich.
Hivi karibuni palikuwa na tetesi kuwa wawili hawa wameachana na kwamba Orland anatoka na Selena Gomez.
Boti linamilikiwa na Russian businessman Roman Abramovich.
Post a Comment