Mwaka 2013 Bieber alifungiwa kuingia nchini Argentina kutokana na kesi ya shambulio inayomkabili wakati wa ziara yake kwenye nchi hiyo.
Kupitia akaunti ya Twitter, Bieber aliandika: “’Argentinian beliebers I would like nothing more than to bring the #purposetour there but until the legal conditions change there I can’t.”
Post a Comment