![]() |
Bi Clinton ameshinda asilimia 94 ya wajumbe wanaohitajika kushinda uteuzi ikiwa ana wajumbe 24 dhidi ya 19 wa Sanders |
Mgombea wa chama cha Democratic
Bernie Sanders, anatarajiwa kuendelea na kampeni yake akitarajiwa
kuonyesha ushawishi wake katika majimbo ya Kentucky na Oregon.
Amekuwa akifanya kampeni yake katika jimbo la Kentucky na kusema kuwa mmewe na rais wa zamani Bill Clinton atakuwa na jukumu la kuboresha uchumi.
Bi Clinton ameshinda asilimia 94 ya wajumbe wanaohitajika kushinda uteuzi ikiwa ana wajumbe 24 dhidi ya 19 wa Sanders
Chama cha Republican kitafanya uteuzi wake katika jimbo la Oregon siku ya Jumanne, lakini uteuzi huo ni kama tayari umeamliwa baada ya mgombea Donald Trump kuwashinda wapinzani wake wote.
Post a Comment