![]() |
Ujerumani yailamu Urusi kwa kulidukua bunge lake na chama cha Angela Merkel |
Shirika la ujasusi la Ujerumani BfV
limeishtumu Urusi kwa kuhusika na misururu ya uhalifu wa mitandaoni
katika mifumo ya kompyta za serikali ya Ujerumani.
Wiki hii imebainika kwamba wahalifu hao wanaohusishwa na kundi hilo hilo pia walilenga chama cha Christian Democrats cha Kansela Angela Merkel.
Urusi bado haijajibu hadharani shutma hizo zilizotolewa na shirika hilo la ujasusi BfV.
Post a Comment