Kijana wa mitaani asiye kuwa na pahala pakuishi hivi karibuni maisha yake yamebadilika baada ya kuchana mpebe ya rapa Rick Ross na boss huyu kumchukua na kuanza kumuweka karibu na wasanii wa MMG.
Kijana huyu anafahamika kama Isa Muhammad,alichana mtaani mbele ya kundi la Rick Ross na ndipo walipogundua kipaji chake.
Bado Isa hajapewa mkataba na MMG ila ameanza kuonekana kuwa karibu na Rick Ross.
;:
Post a Comment